IBMS WorkERP™ IBMS WorkERP™
  • IBMS WorkERP™
  • Sign In
  • About Project WorkERP
  • Contact Help

Impact,

At Imarasoko, we believe technology should drive inclusive and sustainable development. IBMS WorkERP is built on this foundation. Our impact includes: Empowering SMEs: Providing affordable, digital business tools for growth. Local Employment: Supporting economic activity and job creation through digital adoption. Sustainability: Encouraging paperless, eco-friendly business practices. Youth & Women Inclusion: Promoting access to technology for youth- and women-led businesses. Community Development: Contributing to digital transformation across Tanzania and Africa. We are committed to continuous improvement and tracking our impact to ensure IBMS WorkERP effectively serves both businesses and society.

Athari,

Imarasoko tunaamini teknolojia inapaswa kusaidia maendeleo jumuishi na endelevu. IBMS WorkERP imejengwa kwa msingi huo. Athari zetu ni pamoja na: Kuziwezesha Biashara Ndogo: Kutoa zana nafuu za kidigitali kusaidia ukuaji wa biashara Ajira za Ndani: Kusaidia ukuaji wa ajira kupitia matumizi ya teknolojia Uendelevu: Kuhamasisha matumizi yasiyo ya karatasi na mazingira rafiki. Ushirikishwaji wa Vijana na Wanawake: Kuwezesha biashara zinazomilikiwa na vijana na wanawake kupata teknolojia Maendeleo ya Jamii: Kuchangia katika mageuzi ya kidijitali Tanzania na Afrika. Tumejizatiti kuboresha daima na kufuatilia athari zetu ili kuhakikisha IBMS WorkERP inahudumia biashara na jamii.

© IBMS WorkERP™ - Innovating Work, Unlimiting Progress.

© IBMS WorkERP™ - Ubunifu Endelevu, Unaoshinda Vikomo.

  • Legal Kisheria
  • Security Usalama
  • Terms Masharti
  • Privacy Faragha
  • Impact Athari