IBMS WorkERP™ IBMS WorkERP™
  • IBMS WorkERP™
  • Sign In
  • About Project WorkERP
  • Contact Help

Terms,

By accessing and using IBMS WorkERP, you agree to the following terms and conditions: Account Usage: You must provide accurate registration information and are responsible for all activity under your account. Subscription & Payment: Access or use of IBMS WorkERP require a paid subscription and some features require additional purchases. Fees or charges (unless otherwise there is a special agreement) are all payable in advance. Acceptable Use: Users must not engage in fraudulent, abusive, or unlawful activity. Termination: Imarasoko reserves the right to suspend or terminate accounts for violations of these terms. Modifications: We reserve the right to update terms. Users will be notified in advance of significant changes. Violation of these terms may result in restricted or terminated access to IBMS WorkERP.

Masharti,

Kwa kutumia IBMS WorkERP, unakubali masharti yafuatayo: Matumizi ya Akaunti: Lazima utoe taarifa sahihi wakati wa usajili na unawajibika kwa shughuli zote chini ya akaunti yako. Usajili na Malipo: Baadhi ya huduma zinahitaji usajili wa malipo. Ada hulipwa kabla kulingana na mpango uliochaguliwa. Matumizi Sahihi: Hutakiwi kufanya shughuli za udanganyifu, unyanyasaji au zisizo halali. Kufutwa kwa Akaunti: Imarasoko ina haki ya kusimamisha au kufuta akaunti kwa ukiukwaji wa masharti. Mabadiliko: Tunaweza kubadilisha masharti haya. Watumiaji watapewa taarifa kabla ya mabadiliko makubwa. Ukiukaji wa masharti haya unaweza kusababisha kufungiwa au kusitishwa kwa matumizi ya IBMS WorkERP.

© IBMS WorkERP™ - Innovating Work, Unlimiting Progress.

© IBMS WorkERP™ - Ubunifu Endelevu, Unaoshinda Vikomo.

  • Legal Kisheria
  • Security Usalama
  • Terms Masharti
  • Privacy Faragha
  • Impact Athari