IBMS WorkERP™ IBMS WorkERP™
  • IBMS WorkERP™
  • Sign In
  • About Project WorkERP
  • Contact Help

Security,

The security of your business data is our highest priority. IBMS WorkERP uses industry-leading security practices to safeguard user information against unauthorized access, modification, loss, or destruction. Our security commitments include: Data Encryption: All data transmitted or stored is encrypted using global standards. Access Control: Users are assigned specific roles and access rights based on their responsibilities. Authentication: Recommend strong password policies and rolling out optin for two-factor authentication (2FA). Backups: Routine encrypted backups and disaster recovery procedures. Monitoring: Continuous server and application activity monitoring for threats. Users are responsible for keeping their account credentials secure. Any breach resulting from compromised user account details is the responsibility of the account holder.

Usalama,

Usalama wa data za biashara yako ni kipaumbele chetu kikuu. IBMS WorkERP hutumia mbinu bora za kiusalama kulinda taarifa zako dhidi ya udukuzi, upotevu au uharibifu. Ahadi zetu za usalama ni pamoja na: Usimbaji Data: Data zote zinazotumwa au kuhifadhiwa husimbwa kwa viwango vya kimataifa. Udhibiti wa Upatikanaji: Watumiaji hupewa ruhusa kulingana na majukumu yao. Uhakiki: Kupendekeza sera kali za nenosiri na tunaanzisha karibuni - uthibitishaji wa hatua mbili (2FA). Hifadhi Nakala: Hifadhi nakala za mara kwa mara zilizosimbwa na taratibu za urejeshaji. Ufuatiliaji: Ufuatiliaji wa mara kwa mara wa seva na programu dhidi ya vitisho. Watumiaji wanawajibika kulinda taarifa zao za kuingia. Uvunjaji wa usalama kutokana na akaunti zilizodukuliwa ni jukumu la mtumiaji.

© IBMS WorkERP™ - Innovating Work, Unlimiting Progress.

© IBMS WorkERP™ - Ubunifu Endelevu, Unaoshinda Vikomo.

  • Legal Kisheria
  • Security Usalama
  • Terms Masharti
  • Privacy Faragha
  • Impact Athari