IBMS WorkERP™ IBMS WorkERP™
  • IBMS WorkERP™
  • Sign In
  • About Project WorkERP
  • Contact Help

Privacy,

We are committed to protecting your privacy. This section explains how we collect, use, and protect your personal and business data when using IBMS WorkERP. What We Collect: Personal details such as your name, email address, and phone number Business information such as customer records, sales data, and inventory Login and activity data used to improve functionality and security. How We Use It: To provide, maintain, and improve IBMS WorkERP services, To personalize user experience and support To communicate service updates, security alerts, and promotional offers (if opted in). Data Sharing & Access: We do not sell your data to third parties, We may share data with trusted partners under confidentiality agreements to deliver key features (e.g., cloud storage), Data may be disclosed if required by law or to protect our legal rights. User Rights: You can request access to, update, or delete your personal data (completely), You may export your data or close your account at any time.

Faragha,

Tumejizatiti kulinda faragha yako. Sehemu hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia na kulinda data zako binafsi na za biashara unapotumia IBMS WorkERP. Tunakusanya Nini: Maelezo binafsi kama jina lako, barua pepe, na namba ya simu. Taarifa za biashara kama rekodi za wateja, mauzo na hesabu Data ya kuingia na shughuli zako kwa ajili ya usalama na maboresho Jinsi Tunavyotumia: Kutoa, kuendeleza na kuboresha huduma za IBMS WorkERP Kuboresha matumizi yako na kutoa msaada Kuwasiliana kuhusu masasisho, tahadhari za kiusalama na ofa maalum (ikiwa umechagua) Ushirikishaji wa Data: Hatutauza taarifa zako kwa mtu wa tatu Tunaweza kushirikisha data na washirika wa kuaminika chini ya makubaliano ya usiri kwa ajili ya kutoa huduma muhimu (mfano, uhifadhi wa wingu) Data inaweza kutolewa iwapo sheria inatulazimu au kulinda haki zetu Haki za Mtumiaji: Unaweza kuomba kuona, kurekebisha au kufuta data zako binafsi Unaweza kuhamisha data yako au kufunga akaunti yako wakati wowote

© IBMS WorkERP™ - Innovating Work, Unlimiting Progress.

© IBMS WorkERP™ - Ubunifu Endelevu, Unaoshinda Vikomo.

  • Legal Kisheria
  • Security Usalama
  • Terms Masharti
  • Privacy Faragha
  • Impact Athari